Miliki Biashara ya Kitaalamu Mtandaoni

Tunawasaidia wajasiriamali watarajiwa kujenga biashara ya kitaalamu (expert business) mtandaoni yenye kuingiza faida ya milioni au zaidi kila mwezi

Sad man

Mfumo wa Sasa wa Elimu Umekuangusha

Kipato ni Kidogo, Kazi Yako Huipendi na Ajira Nzuri Haipatikani

Baada ya kuhangaika kuchukua mkopo na kuhitimu chuo, umejikuta upo katika ajira usiyopenda, mshahara ni mdogo na mzigo wa kulipa madeni kila mwisho wa mwezi unakuumiza kichwa. 

Hili tatizo linawagusa wengi kwani takwimu za  zinaonyesha kuwa % ya wahitimu wanahangaika kupata kazi. Na wenye kupata kazi hawapati kazi waliyosomea.

Kama lengo la kusoma ni kujenga taaluma itakayokupa kazi nzuri pamoja na maisha mazuri, mbona hayo maisha mazuri huyaoni? 

Na mbona ajira inayopatikana haikidhi matumizi ya kila siku ya nyumbani? 

Je suluhisho ni nini? 

Suluhisho ni Kumiliki Biashara ya Kitaalamu

Biashara yenye kuthamini taaluma yako sokoni

Wengi tukiwauliza kwanini wameajiriwa na hawafanyi biashara, jibu tunalopata ni kuwa hawana mtaji wa kutosha.

Kama na wewe unawaza kuwa na mtaji kabla ya kufanya biashara basi inamaanisha kuwa wewe unafikiria kuanzisha biashara ya uuzaji bidhaa/huduma (commodity business).

Changamoto ya biashara ya aina hii ni kuwa kama unataka kushinda unatakiwa:
Kuwa na mtaji mkubwa
Uwe na bidhaa nzuri mno
Bei yako iwe ya chini kuliko washindani wako
Mfuko mnono kwa ajili ya kutangaza bidhaa/huduma zako

Ukiweza kufanya hivyo utapata wateja wengi, na utaweza kushindana kwenye soko la sivyo huna budi isipokuwa kuanzisha biashara ya kitaalamu (expert business).

Faida ya biashara ya kitaalamu (expert business) ni kuwa:
1. Mtaji wake ni mdogo au huhitaji mtaji kabisa (taaluma yako ndio mtaji wako)
2. Faida yake ni kubwa mno (wataalamu wa kweli hulipwa pesa nyingi)
3. Huhitaji wateja wengi kutimiza malengo yako

Wewe si Msomi na Huna Taaluma Yoyote?

Usijali!

Kupitia program yetu tunamfundisha hata mtu aliyoishia darasa la saba kuingia katika soko na kujenga taaluma ya kutatua matatizo ya walengwa wake.

Kama unajua kusoma na kuandika na kutumia App kama WhatsApp au Instagram basi hakuna sababu na wewe ushindwe kuanzisha biashara ya kitaalamu.**

Biashara Hii Ni Kwa Ajili ya Nani?

Mwajiriwa

Kwa mwajiriwa anayetaka kuwa na kipato cha ziada hata kama hana mtaji mkubwa.​

Mhitimu wa Chuo

Kwa mhitimu wa chuo mwenye kutaka kuingiza kipato kizuri ndani ya miezi michache zijayo.

Mfanyabiashara

Kwa mfanyabiashara mwenye kuhangaika kupata wateja wa kutosha kutokana na ushindani mkali sokoni.

Mtaalamu

Kwa mtaalamu anayetamani kuwa na mfumo mzuri wa kupata wateja endelevu .

Mhamasishaji

Kwa mhamasishaji (public speaker) anayehangaika kupata wateja wenye kuthamini kazi yake.

Network Marketer

Kwa Network Marketer asiyemiliki mfumo wa kupata wateja endelevu mtandaoni.

Tumewasaidia Mamia ya Wanafunzi.
Tunaweza Kukusaidia na Wewe...